Mashabiki wa kweli wa @wemasepetu yaani #teamwemakazi tumeandaa safari ya kifahari lakini kwa gharama nafuu kabisa ili kila anayempenda Wema aweze kusafiri kwenda Tanga tarehe 10 Sept kumsupport madame. Gari limeshapatikana ni nzuri mno, lina full AC na Music mnene yaani njiani itakuwa full shangwe. Gharama zote ni kwa mtonyo wa 45,000 tu. Utaenda na utashiriki usiku wa vigoma Tanga, utapata kijora na wanaume wote watapata T-shirt. Wahi sasa nafasi ni chache. Yaani Tanga tunaenda kukinukisha balaa. Aminia sana #teamwemakazi kwa wazo nzuriπππππππ Namba ya kutuma pesa ni#0757307835 ππππ A photo posted by MUNA ALPHONCE πππMUNAMALOVEEE (@munalove100) on Aug 31, 2016 at 2:11am PDT
Mashabiki wa kweli wa @wemasepetu yaani #teamwemakazi tumeandaa safari ya kifahari lakini kwa gharama nafuu kabisa ili kila anayempenda Wema aweze kusafiri kwenda Tanga tarehe 10 Sept kumsupport madame. Gari limeshapatikana ni nzuri mno, lina full AC na Music mnene yaani njiani itakuwa full shangwe. Gharama zote ni kwa mtonyo wa 45,000 tu. Utaenda na utashiriki usiku wa vigoma Tanga, utapata kijora na wanaume wote watapata T-shirt. Wahi sasa nafasi ni chache. Yaani Tanga tunaenda kukinukisha balaa. Aminia sana #teamwemakazi kwa wazo nzuriπππππππ Namba ya kutuma pesa ni#0757307835 ππππ
A photo posted by MUNA ALPHONCE πππMUNAMALOVEEE (@munalove100) on Aug 31, 2016 at 2:11am PDT